Blueberry Juice High Vc (Powder form)
Viungo:
Blueberry extract, American Cherry Powder, Raspberry Extract, Blackberry Extract
Kazi na Faida zake:
- Kuondoa tatizo la uchovu wa macho linaloweza kuleta maumivu kuzunguka macho, kutoona vitu vizuri, kuona vitu viwili viwili (asthenopia); kuboresha uonaji wa vitu ;
- Ina tabia ya kupiga vita kansa;
- Antioxidant, kuondoa uchovu;
- Kulinda maini.
Inafaa Kutumiwa Na:
Watu wa rika zote na hasa
- Watu wenye uchovu sugu;
- Watu wenye matatizo ya maini, au wanaolenga kulinda maini yao;
- Watu wanaotaka kuwa na mwonekano mzuri au kupunguza unene
Maelezo Muhimu:
American Cherry
American cherry ina uwingi wa madini ya chuma, mara 20-30 ya yale yapatikanayo kwenye apples. Kiungo cha melatonin kinaongeza nguvu ya kupunguza kuzeeka mara mbili. American cherry ina uwingi wa protini, vitamini A,B,C, potassium, calcium, phosphorus, chuma n.k. Ina kalori ndogo na fiber kwa wingi.
Raspberry Extract
Raspberry asili yake ni Ulaya na Amerika. Ina uwingi wa protini, organic acids, vitamini C, salicyclic acid na virutubishi vingine. Matumizi ya muda mrefu ya raspberry huweza kuulinda moyo, kupunguza pressure, atherosclerosis, na stroke. Raspberry ni chanzo kikuu cha ellagic acid, ambayo huweza kuzuia seli za kansa. Watu wa Ulaya na Amerika huiita Raspberry "Tunda la Matajiri" kwa sababu ya thamani yake ya virutubishi.
American blackberry Extract:
Blackberry ina amino acids 17 na vitamini muhimu kwa mwili. Uwingi wa vitamini C ni mara 5 ya ile iliyomo ndani ya apples na mara 6 ile ya zabibu. Blackberry ina SOD na amino acids ambazo zinapunguza uzeekaji. Matumizi ya muda mrefu ya blackberry hurefusha maisha na kupunguza kuzeeka kwa mwili. Ni mashuhuri ulimwenguni na huitwa "Fruit of Life".
<<<<< MWANZO